HUDUMA ZETU

HUDUMA ZETU AMKA CONSULTANTS
Kupitia kampuni ya AMKA CONSULTANTS utaweza kupata huduma mbalimbali za ushauri mafunzo na kuhamasika zaidi. Huduma zote hizi zinalenga kukusaidia wewe kufikia uwezo wako mkubwa na kufikia mafanikio makubwa.

HUDUMA ZA USHAURI.

AMKA CONSULTANTS inatoa ushauri katika maeneo yafuatayo.
1. Biashara na ujasiriamali.
2. Masoko na mauzo.
3. Changamoto za maisha.
4. Changamoto za kazi.
5. Elimu na ujuzi.
6. Uandishi.
7. Biashara kwa njia ya mtandao(internet marketing).
Ushauri unaweza kutolewa kwa kukutana ana kwa ana au kwa njia ya simu. Gharama za ushauri ni kidogo sana ili kumwezesha kila mtu kufikia malengo yake makubwa.
Kupata ushauri tumia mawasiliano yafuatayo; amakirita@gmail.com, 0717396253

HUDUMA ZA MAFUNZO.

AMKA CONSULTANTS inaendesha mafunzo mbalimbali kupitia maandiko kwenye mtandao(blogs) na pia kupitia semina.
Unaweza kujifunza na kuhamasika kupitia blogs zinazoendeshwa na AMKA CONSULTANTS. Kusoma blog hizo nenda www.amkaconsultants.blogspot.com
Pia AMKA CONSULTANTS inaendesha semina mbalimbali za mafunzo ambapo kwa kuhudhuria utajifunza na kuhamasika. Taarifa za semina hizi zitatolewa kwa eneo inapofanyika, muda na gharama.

HUDUMA ZA UANDISHI.

AMKA CONSULTANTS inatoa huduma za uandishi wa makala kwa watu ambao wanahitaji kuandikiwa makala kwa mahitaji yao mbali mbali. Kama unahitaji makala kwa ajili ya blog, gazeti, jarida na hata kitabu unaweza kuwasiliana nasi na kupatiwa huduma ya makala nzuri sana.
Karibu sana AMKA CONSULTANTS ambapo utapata huduma bora za kuboresha maisha yako na ya wanaokuzunguka.