WASILISHA MAKALA

Kama wewe ni mwandishi au blogger na unaandika makala za kufundisha unaweza kutuma makala zako kwenye moja ya blogs zinazosimamiwa na AMKA CONSULTANTS.
Katika makala hiyo utaweka jina lako, mawasiliano yako na hata link ya blog yako na hivyo kukuongezea wasomaji zaidi. Hakuna malipo kwenye huduma hii ila itakuongezea wasomaji kwenye blog yako na pia utaweza kujijenga na kuwa mwandishi mzuri.

Vigezo vya makala itakayoweza kuwekwa kwenye blog zetu.

1. Iwe ya kufundisha, kuhamasisha au kushauri.
2. Iwe na maneno kati ya 500 mpaka 1000.
3. Iandikwe kwa lugha nzuri na rahisi ya kiswahili.
4. Indikwe kwa mvuto na imfanye msomaji ahamasike.

Karibu sana utumie nafasi hii kupata wasomaji wengi zaidi na pia kuendeleza usomaji wako.